Friday, March 6, 2009

Karibuni kwenye blogu ya Tanzania Christian Heritage

Karibuni wasomaji katika blogu mpya ya 'Tanzania Chiristian Heritage".
Hii ni blogu kwa ajili ya habari za KiKristo na yale yote yanayogusa maisha yetu katika UKristo.
Unakaribishwa kuchangia maoni yako na pia kutuma habari mbalimbali kwa ajili ya kujadiliwa.
Tafadhali ukiwa na habari/hoja/kisa na ikiwa ungependa kiandikwe hapa na jina lako ama picha yako iambatane na habari hiyo, tafadhali wasiliana nami kupitia anwani pepe:
Au

4 maoni:

tanzaniachristianheritage said...

Tunaomba maoni yako juu ya namna ya kuboresha blog hii

Subi said...

Tunasubiri Neno!

strictlygospel said...

Bwana Yesu Asifiwe! Karibu sana, tuko pamoja katika kuifanya kazi ya Mungu!

Anonymous said...

Mungu azid kukutia nguvu ili kazi ya injili isonge mbele

Post a Comment

Tafadhali kuwa mstaarabu.
Jiheshimu kwa kutokuacha maneno yenye kauli ya kutusi ama kuudhi wengine.
Maoni yasiyofaa hayatachapishwa.

Recent Posts

TaCHe & Subi.nukta77 chose to wear BlueWeed by BlogOh!Blog | to Blogger by Gre at Template-Godown | Entries (RSS) and Comments (RSS).